Nataka msaada wa taratibu za kufuata kusajil na kupata kibali cha kukata na kuuza nguzo za umeme.

Nataka msaada wa taratibu za kufuata kusajil na kupata kibali cha kukata na kuuza nguzo za umeme.

herbeth

New Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
4
Reaction score
2
Wana JF naomba kwa yoyote anaejua process za vibal vya uvunaji wa misitu na uuzaj wa mal za misitu anisaidie kwa namna gan naweza kupata kibal cha kuifanya kaz hii.nimeianza ila naona nivizur nikaisajil ila taratibu za kufuata bado nipo gizan.naomba mnisaidie wadau
 
  • Thanks
Reactions: GKM
Back
Top Bottom