Wana JF naomba kwa yoyote anaejua process za vibal vya uvunaji wa misitu na uuzaj wa mal za misitu anisaidie kwa namna gan naweza kupata kibal cha kuifanya kaz hii.nimeianza ila naona nivizur nikaisajil ila taratibu za kufuata bado nipo gizan.naomba mnisaidie wadau