white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
wataalam wa lugha naombeni ufafanuzi wa nini maana ya feed back?kwani nimemsikia mtangazaji wa tbc taifa,anasema kuwa mic zimeleta matatizo ktk ukumbi wanaofanyia mkutano chama cha mapinduzi dodoma kuwa anasubilh mshindo nyuma ili kujua atahutubia amekaa pale alipo au akasimame!sasa hili neno mshindo nyuma!mbona kisw.kina maneno tata,juzi nimekwenda ktk duka la madawa nikamwambia nipe kifudusi(condom)nikaambiwa mbona natukana!kazi ipo!mala kidada vuzi.