Nataka mtu atakaeweza kinifundisha kuandika Mwandiko mzuri

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Jamani mimi natafuta mtu ataeweza kunitanya niwe na mwandiko mzuri ,sikusoma shule sawasawa kutokana na sababu za kiafya,sasa kiujumla sina hati nzuri kabisaaa,nataka mtu atakaeweza kinifundisha,nikiandika kwenye plain paper muandiko haunyooki kabisa,naombeni msaada
 
Acha pressure na mwandiko haumwandikii mwanamke kumtongoza napo zamani walikuwa wanasema samahan kwa mwandiko nimeandikia kijinga Cha moto so tunaangalia ujumbe
 
Ni mwandiko tu,ila hela nnayo ,naapa hunishindi
Unataka uwe una muandikia nani...! Siku hizi Kila kitu kinaandikwa na mashine...!

Upo mkoa gani...?

Ofa Yako ni kiasi gani kwa atakae jitolea kukusaidia...?​
 
Karibu,
 
Kama umeandika wewe iyo post, achana na kuangaika na mwandiko. Wasiliana kwa simu. Sema jifunze kutype kwa computer unakua una print barua.
 
Wasiliana na Saint Anne anaweza kukusaidia. Nina moja ya kazi zake, sio mchezo.
 
Una pesa ngapi Mkuu nikufundishe?
Mwisho wa darasa utanyoosha mwandiko kama Umechonga na rula
 
Mkuu ushapata Mwalimu?
Nipe Mimi hiyo tenda

Mwisho wa darasa usipoweza kunyoosha ntakurudishia ada yako
 
Elimu ni gharama. Walimu wapo wengi, utawalipa?
 
Mwandiko mzuri unautaka wa nin Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…