Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
I don't have idea hii ita work but Mungu ndio mjuzi.
Personal sipendi kufukazana na pilika za Mapenzi sio kamchiti huyu ana date na huyu amekuwa Ex unakuta instead kutumia muda mwingi kujenga uchumi wako na kufikiri kwanini umeletwa Duniani unaanza tena kufukazana na Mapenzi.
Mimi ni mtu napenda kutulia na mmoja asiye na mambo mengi anayeona maoenzi just a basic thing tuishi tujuane madhaifu yetu tutatue, tushauriane, tuwekane sawa tujenge maisha ya mapenzi na uchumi....tuishi kwa kufikiri future yetu, watoto na maisha yetu ya kesho baada ya kifo Basi Mungu akitujaaria zaidi tusihi maisha Kama tunapita tu hapa Duniani amini ukiishi kama unapita hapa Duniani changamoto hata ikiwa kibwa kihasi gani tutaiona Kama mtihani kwa binadamu kumpima imani.
Dhima Ya Andiko
Binafsi Nina umri wa miaka 27 ni muda sahihi wa Kutafuta mwenza was maisha tutayeoanga maisha pamoja ikiwezekana kuweza kuoana na kupata watoto....Katika umri huu sipo dispearte kuoa bali ninafikiria mambo zaidi ya mimi binafsi maisha ya sasa ninafikiria watoto inabidi niwenao nikiwa Nina nguvu sio nimezeeka hili niwasapoti vilivyo kiuchumi nk pia nafikiri Sasa muda wangu wakuishi kwa kufikiri kesho yangu baada ya kifo bila ya ndoa inakuwa mtihani kufanya ibada na tamaa za kimwili
Namtaka mwanamke atayekuwa serious tuishi, Sifa
1)Muislam
2)At least amefika Form 4
3)Umri 20 mpaka 27 au anaweza zidi kidogo
4)Awe Dsm
Sifa Zangu
1)Muslim
2)Elimu Diploma
3)Umri 27
4)Nipo Dsm
5)Kazi nafanya ya kawaida kujishikiza ya kamisheni
NB: simaanishi tukimiti na kuona hapohapo tutfahamiana zaidi.