Nipo katika harakati za kutafuta shule kwa ajili ya kijana wangu anategemea kuanza darasa la kwanza hapo mwakani.
Moja kati shule nilizozipendekeza ni hii st. Matthew.
Nipeni muongozo. Kuna uzi nimeuona humu kuna mdau analalana walimu mutolipwa stahiki zao kwa wakati. Nataka kujua kitalaama ipoje. Karibuni