Nataka mwezi wa nne 2019 niende Comoro nikijaliwa

King Loto

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1,581
Reaction score
1,357
Wakuu salaam wanasema bongo nyoso,
Nimeelezwa kuwa comoro kuna soko jepesi kuliko hapa bongo ambapo hatulii njaa au hamna ambacho kinatufanya tuvuke boda cha kufuata kama chakula, ila Comoro ni kisiwa hakina population kiivo lakini watu wapo na uhitaji wa bidhaa muhimu upo.

Sasa nitaenda nijaribishe biashara, usafiri wa ndege ndio fureshi kwa ambao tunapeleka bidha kidogo na zisizoharibika mapema perishable goods. Yaani naenda kawaida sana. Naanda nauli kama laki 7 na visa ya elfu 78, tatizo watu wanadhani mpaka upeleke matani ya vitunguu ndio uende. Nikirudi toka huko nitaleta nazi na samaki kama zawadi kwenu. Halafu kiarabu nakijua kwa mbaali na kifaransa pia vard, mardi, mecredi, vandred, jeudi, samedi, en dimanche set por aujeudior. na blablaa...

Ukikaa bongo huoni pesa sema tupo bongo bahati mbaya (bbm dotcom) maana nje fursa zipo sema waendaji hamna, kuishi bongo siyo biblia au msahafu useme ni sheria. Pia Congo kuna fursa ila ngoja nisome upepo wa Comoro kwanza.. Mimi nimekuja kuwajuza tu
 
wakuu salaam wanasema bongo nyoso,
nimeelezwa kuwa comoro kuna soko jepesi kuliko hapa bongo ambapo hatulii njaa au amna ambacho kinatufanya tuvuke boda cha kufuata kama chakula, ila comoro ni kisiwa hakina population kiivo lakini watu wapo na uhitaji wa bidhaa muhimu upo.

sasa nitaenda nijaribishe biashara, usafiri wa ndege ndio fureshi kwa ambao tunapeleka bidha kidogo na zinzoharibika mapema perishable goods. yaani naenda kawaida sana. naanda nauli kama laki 7 na visa ya elfu 78, tatizo watu wanadhani mpaka upeleke matani ya vitunguu ndio uende.nikirudi toka huko nitaleta nazi na samaki kama zawadi kwenu.
alafu kiarabu nakijua kwa mbaali na kifaransa pia vard, mardi, mecredi, vandred, jeudi, samedi, en dimanche set por aujeudior. na blablaa...
ukikaa bongo huoni pesa sema tupo bongo bahati mbaya (bbm dotcom) maana nje fursa zipo sema waendaji amna, kuishi bongo siyo biblia au msaafu useme ni sheria. pia congo kuna fursa ila ngoja nisome upepo wa comoro kwanza.. mi nimekuja kuwajuza tu
Kila la kheri
Nitasubiria mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinisahau mkuu
wakuu salaam wanasema bongo nyoso,
nimeelezwa kuwa comoro kuna soko jepesi kuliko hapa bongo ambapo hatulii njaa au amna ambacho kinatufanya tuvuke boda cha kufuata kama chakula, ila comoro ni kisiwa hakina population kiivo lakini watu wapo na uhitaji wa bidhaa muhimu upo.

sasa nitaenda nijaribishe biashara, usafiri wa ndege ndio fureshi kwa ambao tunapeleka bidha kidogo na zisizoharibika mapema perishable goods. yaani naenda kawaida sana. naanda nauli kama laki 7 na visa ya elfu 78, tatizo watu wanadhani mpaka upeleke matani ya vitunguu ndio uende.nikirudi toka huko nitaleta nazi na samaki kama zawadi kwenu.
alafu kiarabu nakijua kwa mbaali na kifaransa pia vard, mardi, mecredi, vandred, jeudi, samedi, en dimanche set por aujeudior. na blablaa...
ukikaa bongo huoni pesa sema tupo bongo bahati mbaya (bbm dotcom) maana nje fursa zipo sema waendaji amna, kuishi bongo siyo biblia au msaafu useme ni sheria. pia congo kuna fursa ila ngoja nisome upepo wa comoro kwanza.. mi nimekuja kuwajuza tu

silent_ocean
 
Kaka ukishaenda utujuze huko more information

Back
Top Bottom