Nataka ndoto yangu ya kumiliki babyshop iwe mwaka huu.help please

Nataka ndoto yangu ya kumiliki babyshop iwe mwaka huu.help please

Geovanna

Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
16
Reaction score
4
Imani yangu itaniponya..huku kwetu kuna opportunity ya kufungua duka classic la nguo za watoto.i have already study about market saturation.nahitaji msaada kuhusu suppliers wa hizo nguo na accesories za watoto.kuhusu capital nataka kuingiza sokon kama 4m.msaada in detail please
 
Nataka nifungue mbezi.badae niwe na branches sehem mbali mbali.
 
wazo zuri ulonalo. umesema upo mbezi , kariakoo yapo maduka ya jumla ya bidhaa za watoto. pia zanzibar maeneo ya mchangani kuna wholesellers kibao wa hivyo vitu. ila kama mtaji wa kuruhusu waweza import. kila la heri
 
thanx,umenisaidia sn mana sina nalolijua ndo nipo kwenye marketing research.
 
Kuna mtanzania anatengeneza weaning utensils na breast pump. Hebu pita nakiete uulizie hizo bidhaa then umpigie. Ni cheap and good quality ukilinganisha na aventis. Hiyo tu ndo idea ya chap chap.

Otherwise kwa mtaji wa 4M utalipia duka, vibali na kununua mzigo?
 
Nitanunua cash mkuu
Honestly, Uende hapo kariakoo kwenye duka la Saudi bazaar ujitambulishe kuwa ni mteja wajumla na upo siryas in cash buy.
uonane na Bi.Jamila,basi utahudumiwa vilivyo. Good luck
 
nalikubali sana hili jukwaa, watu wanapata ufafanuzi honestly. fanyia kazi ideas, kuajiriwa kugumu, ni zama za ujasiriamali
 
Back
Top Bottom