wazo zuri ulonalo. umesema upo mbezi , kariakoo yapo maduka ya jumla ya bidhaa za watoto. pia zanzibar maeneo ya mchangani kuna wholesellers kibao wa hivyo vitu. ila kama mtaji wa kuruhusu waweza import. kila la heri
Utanunua in CASH au CREDIT kama kianzio?
Honestly, Uende hapo kariakoo kwenye duka la Saudi bazaar ujitambulishe kuwa ni mteja wajumla na upo siryas in cash buy.Nitanunua cash mkuu