Nataka ni inunue JamiiForum!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Kutokana na uwepo wangu katika hii forum sasa niwakati wangu baada ya kujiridhisha nataka niinunue JamiiForum nakwakuwa naishi nje sitakuwa na banwa na sheria za huko Tanzania hivyo ni mpango wangu kulifanya jukwa huru hakuna post itakayofutwa!
Maoni yenu wadau nitakao wamiliki soon.
 
N
Niko nangojea wadau... siti ya kwanza kabisa
 
Wabongo mna visa, melo atapiga ishu gani sasa, Nshaona mmeleta ligi, Tambianeni hapa uwanja wenu, mkitoka apo tambianeni magari, tutambie pia uko ulaya sehemu gani, tutambie pia ulaya kitengo au mpanga box. Tambeni wakuu.
 
Tuambie kwanza jina lako halisi ni nani ili tuone kama kweli una guts za kusimamia show kama.Melo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…