Rudi kwenye biashara acha woga unavao kaa mda mrefu kweny kazi ukirudi kweny biashara unakuta kila kitu kimebadilika unazani Kila kitu kitakua sawa kama mwanzo mfano xaiz rate za kubadilishia hela zimeshuka sana kama ulikua unauza mzigo mataifa ya nje weka akili kichwani mwako