Nataka nianze biashara ya kuchora katuni

Nataka nianze biashara ya kuchora katuni

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
920
Jamani yeyote mwenye uzoefu wa biashara ya kuchora katuni naomba anipe Uzoefu wake. Mimi nimewaza kwa kuanza kwa kuchora katuni kwenye A4 papers na kuziunganisha na kuzitembeza kwenye mikusanyiko ya watu.

Note: nitazichora digitally harufu nitaziprint na kutoa copy
 
Tuonyeshe uwezo wako labda tunaweza kuwa wateja wako
 
Biashara ya katuni hio. Bora uuze midoli
 
Ungeweka samples za kaz zako, imgekua rahisi sn kushauriwa
 
binafsi natafuta mchora katuni anayeweza kutengeneza kipindi cha katuni cha nusu saa
 
We Jamaa unataka uanze kulipwa hata kabla hujawa Mchoraji Mzuri.
Sanaa inahitaji Ubunifu na Upige tizi sana
 
Back
Top Bottom