Nadhani ungeanza Kwa kununua ng'ombe ambao hawana afya nzuri,uwatunze vizuri na kuwanenepesha then uuze. Vijijini kwenye minada utawapata kwa bei nzuri tu,mfano kuna wanaouzwa kuanzia 250000-400000. Ukiwa na uhakika wa malisho,maji na dawa ndani ya miezi 4 unauza na kuongeza wengine. Ndama utaanza kununua ukiwa unaendelea na biashara kama utaona inafaa, biashara ya kuanza na ndama itakuondolea molali ya ufugaji,maana unaweza kupigwa usipokuwa unawajua ng'ombe vizuri,unapewa vilivyo dumaa,unashangaa mpaka miaka 3 bilabila,lakini kwenye waliokonda wanajulikana kabisa. All the best