Nataka nianze mazoezi ya kuondoa Gari kwenda Mbele(Forwad) na Kurudi nyuma (Rivas) , papo hapo bila kuzima

Nataka nianze mazoezi ya kuondoa Gari kwenda Mbele(Forwad) na Kurudi nyuma (Rivas) , papo hapo bila kuzima

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
911
Reaction score
751
Habari wakuu....

naomba msaada wa hili...

Nataka nianze mazoezi ya kuondoa Gari kwenda Mbele(Forwad) na Kurudi nyuma (Rivas) , papo hapo bila kuzima....SASA NIFANYEJE ILI ISIZIME WAKATI NAFANYA ZOEZI HILO??
 
Kama ni manu unabalance cluch ma break mbona rahisi sana
 
Yaani anazungumzia ile linaenda mbele alafu wakati linaenda hapo aweke rivas lirudi nyuma bila kuzima au kusimama kidogo kabla hajaweka gia ya rivas
Mkuu kwani unatumia gari gani? Au sijaelewa ulichokizungumza?
 
Kanyaga clutch pedal mpaka mwisho washa gari, weka 1 achia taratibu clutch huku ukikanyaga taratibu mafuta, gari yenyewe itaondoka. Ukiachia Clutch ghafla ndio inapozima gari!.
Achia mguu wa mafuta, kanyaga kwenye brake pedal taratibu, gari ikisimama, kanyaga mpaka mwisho clutch pedal weka R achoa taratibu ukikanyaga mafuta!.
NB: Usiweke mguu mzima kwenye pedals weka kwa mbele tu kisigino kiwe sakafuni itakusaidia balance ya kukanyaga na kuachia!.
 
Back
Top Bottom