Nataka nianze ufugaji kuku wa kisasa kuanzia mwezi wa saba, naomba kujua haya,

Nataka nianze ufugaji kuku wa kisasa kuanzia mwezi wa saba, naomba kujua haya,

Alex Katto

Senior Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
155
Reaction score
20
Nia yangu ni kujaribu kujiinua kimaisha polepole, kwa anayejua naomba anisaidie
1) ningependa kujua bei ya kifaranga mmoja na wapi wanapatikana wazuri?
2) je ni mda gani mpaka kukua na kuuza?
3) kwa mtaji wa laki nne nianzae na wangapi?
4)nina chumba chenye madirisha mawili na kisafi kabisa je kitafaa?
naomba MSAADA WA KUNAISHAHURU MAISHA MAGUMU JAMANI TUSAIDIANE.
 
Back
Top Bottom