Ni ndoto yangu ya siku nyingi kuanziashia clinic ambao nitaibrandi mikoa kama Dodoma, Mwanza, Dar na Arusha.
Wazo nishalifanyia kazi muda sana ila nimekuja kwenye wajuzi na wenye uzoefu wa biashara kutia Neno kwa mtu mwenye wazo la kuanziasha biashara ya clinic kabla sijapiga hatua zaidi.
Nataka mawazo yenye kwenye changamoto, Mtaji, ushindani na mengine yanayohusiana.
Mfano hapa unasema unataka uanzishe clinic, haieleweki ni herbal clinic, phone clinic, massage clinic, au ni clinic ya nini na unatarajia watu wakupe ushauri wa maana.
Mfano hapa unasema unataka uanzishe clinic, haieleweki ni herbal clinic, phone clinic, massage clinic, au ni clinic ya nini na unatarajia watu wakupe ushauri wa maana.