Nataka nianzishe pork centre morogoro town natafuta plot ya kukodi

Nataka nianzishe pork centre morogoro town natafuta plot ya kukodi

Capital

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,468
Reaction score
1,063
Wanajamvi poleni na majukumu ya kila siku. Mimi naishi mji kasoro bahari na plani yangu ni kuanzisha business ya kitimoto, mtaji siyo shida. ombi langu kwenu ni kama kuna mdau mwenye plot iliyo wazi na anaweza ikodisha kwa muda usiopungua miaka 2, tafadhali tuwasiliane, ni-pm kwanza. napendekeza eneo liwe mahali panapofikika. asanteni.
 
Usisahau kuwaambia lisiwe karibu na msikiti au kwenye eneo lenye waislamu wengi.
 
Back
Top Bottom