Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Habari wanajamvi, katika harakati za kutafuta fulsa nimeiona fulsa katika biashara ya saluni. nimefuatilia biashara hii kwa muda mrefu nimeona kuna maeneo wateja bado hawajafikiwa, sasa sijajua tatizo ni wateja au kukosekana kwa ubunifu kwa wajasiriamali. Kwa hiyo kabla sijaanza kuwekeza nikaona ni bora nipate ushauri kutoka kwa wadau kwani miongoni mwa wateja wapo hapa jukwaani. Lengo langu ni kuanzisha biashara ya saluni ila itakuwa maalum kwa kunyoa sehemu za siri na kwapani tu. Na saluni hii itakuwa ya jinsia zote, yaani unaweza kuja wewe na mwenza wako au mpenzi wako mkanyolewa wote kisha mkarudi zenu nyumbani kiroho safi.
Naomba mchango wako mdau
Naomba mchango wako mdau