NATAKA NIANZISHE SPECIAL SALOON JE NITAPATA WATEJA?

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wanajamvi, katika harakati za kutafuta fulsa nimeiona fulsa katika biashara ya saluni. nimefuatilia biashara hii kwa muda mrefu nimeona kuna maeneo wateja bado hawajafikiwa, sasa sijajua tatizo ni wateja au kukosekana kwa ubunifu kwa wajasiriamali. Kwa hiyo kabla sijaanza kuwekeza nikaona ni bora nipate ushauri kutoka kwa wadau kwani miongoni mwa wateja wapo hapa jukwaani. Lengo langu ni kuanzisha biashara ya saluni ila itakuwa maalum kwa kunyoa sehemu za siri na kwapani tu. Na saluni hii itakuwa ya jinsia zote, yaani unaweza kuja wewe na mwenza wako au mpenzi wako mkanyolewa wote kisha mkarudi zenu nyumbani kiroho safi.
Naomba mchango wako mdau
 
Idea nzuri, lakini kumbuka una minywele kibao kwapani, ANZA WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…