Nataka niaply kozi ya clinical officer, nahitaji kujua gharama

Nataka niaply kozi ya clinical officer, nahitaji kujua gharama

Javis Elias Balilemwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
489
Reaction score
67
Wakuu vigezo ninavyo hivyo nataka niaply kozi ya clinical officer pale kibaha kinachomilikiwa na serikali. Clinical officer training center Kibaha Je VIP fees yake .Nawasilisha
 
Nimeongeaa na mwananguu yupoo palee anapiga CM palehawaliii chakula wanajitegemea wenyewee so kwa mwaka 480000 hivii ela ya kawaida tuu kwa mwakababaa semaa jiandaee kujitegemea menyuu labdaa ukiendaa wanaweza badilisha mfumo na mwisho wa sikuu kama wakiweka menyuuu utalipaa 945000 kwa mwaka
 
asee hebu funguka kidogo hapo
namna ya kuapply inakuaje maana unaweza ukatusaidia kina sie.
 
Wakuu vigezo ninavyo hivyo nataka niaply kozi ya clinical officer pale kibaha kinachomilikiwa na serikali. Clinical officer training center Kibaha Je VIP fees yake .Nawasilisha

je naweza nikapata kozi kwa ngazi hata ya crtfct nimemaliza 2013 Nina edc kwa phz cem na bio nime maliza four
 
Back
Top Bottom