Nataka nichonge kabati la jikoni

Nataka nichonge kabati la jikoni

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Evening!!! Nahitaji kuchonga kabati la jikoni fundi wangu anashindwa kufanya vipimo vyake kwasababu ya hiki kitu"ovena iliyounganika na jiko Ina vipimo gani Yani urefu na upana!!" Msaada tafadhari naambatanisha na picha.Asante
 
Attachments

  • Screenshot_20250128-193213.jpg
    Screenshot_20250128-193213.jpg
    250.4 KB · Views: 3
Mkuu kumbe upo?,. Sijui ni braza au binti ila nlimisi nyuzi zako
 
Evening!!! Nahitaji kuchonga kabati la jikoni fundi wangu anashindwa kufanya vipimo vyake kwasababu ya hiki kitu"ovena iliyounganika na jiko Ina vipimo gani Yani urefu na upana!!" Msaada tafadhari naambatanisha na picha.Asante
60cm width
60cm depth
Urefu hauna issue juu kunakuwa wazi.
 
Back
Top Bottom