Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseMillion kama 7 ila utarudisha close to 12M kwa miaka saba.
Alafu ufanye nini?Nataka niwakope alafu niache kazi
Hi ndio shida ya Vijana wa Kitanzania, baada ya hapo unakua blacklisted, hata kazi kwenye mashirika yanayofanya credit check andika maumivu.Nataka niwakope alafu niache kazi
Elimu inahitajka kwenye upande huoHi ndio shida ya Vijana wa Kitanzania, baada ya hapo unakua blacklisted, hata kazi kwenye mashirika yanayofanya credit check andika maumivu.
Habari Wana JF kwa mshahara wa laki tano mkopo naweza patiwa shingapi?
Ukiisha acha kazi then utalipaje pesa za watu?Nataka niwakope alafu niache kazi
Halafu baadaye tunajiuliza kwanini mabenki yanawakopa wahindi kirahisi kuliko watanzania. Mtanzania anaenda kukopa akiwa kajiandaa kutolipa si benki tu hata kwa rafiki na ndugu.Hi ndio shida ya Vijana wa Kitanzania, baada ya hapo unakua blacklisted, hata kazi kwenye mashirika yanayofanya credit check andika maumivu.
Tatizo wengi hawana uelewa wa hili jambo.Hi ndio shida ya Vijana wa Kitanzania, baada ya hapo unakua blacklisted, hata kazi kwenye mashirika yanayofanya credit check andika maumivu.
Huu ndo unakuaje?Kopa mikopo ile ya Hazina haina Riba
Unafungua Account kwenye Portal ya Hazina alafu unaombaHuu ndo unakuaje?
Kila anae soma hapa na aelewe.Usichukue mkopo wa zaidi ya miaka mitatu