Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

Bado mtoto sana.Hujawa mwanaume kamili.Ni upumbavu kuita vikao vya ndugu kusuluhisha jambo ambalo lipo wazi kuwa huyo siyo mke wako bali mke wenu.Ujinga mwingine ni kujitetea ukweni pale unaposhtakiwa na huyo malaya uliyemfuga.
Ungekuwa jirani nami ningekutandika angalau makofi mawili hili kukushtua kuwa unaishi na malaya unayemuita mke.
 
Kila la heri mkuu.
 
Sio rahisi hivyo kama unavyoongea,narudia sio rahisi hivyo.
 
Hongera kaka....Jini hafugwi.
 
Punguza hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…