Nataka nifungue fremu ya biashara Dar, Ni maeneo gani nitapata frem ya bei nafuu?

Nataka nifungue fremu ya biashara Dar, Ni maeneo gani nitapata frem ya bei nafuu?

Joined
Apr 19, 2015
Posts
20
Reaction score
5
Habari zenu,

Nina mtaji wa milioni 20, nataka nifungue fremu ya biashara Dar es Salaam. Ni maeneo gani naweza kupata fremu ya bei nafuu?
 
Kama mgeni Dar basi pesa itaisha yote. Jiji la Dar kila eneo ina biashara yake yenye uwezo wa kutoka vizuri.
Mtaji wako ni mkubwa sana tu kwa mtu mwenye nia ya kutaka kufanya biashara kwa kujituma zaidi.
Na sio kujifanya kama wale wenye mitaji ya milioni mia na zaidi.

Sasa mwanzo ujue unataka kufanya biashara ipi then watu watakushauri ipi inatoka sana.
 
Back
Top Bottom