Kama mgeni Dar basi pesa itaisha yote. Jiji la Dar kila eneo ina biashara yake yenye uwezo wa kutoka vizuri.
Mtaji wako ni mkubwa sana tu kwa mtu mwenye nia ya kutaka kufanya biashara kwa kujituma zaidi.
Na sio kujifanya kama wale wenye mitaji ya milioni mia na zaidi.
Sasa mwanzo ujue unataka kufanya biashara ipi then watu watakushauri ipi inatoka sana.