Habari, ndugu mteja.Me ningeshauri kama mnaweza toa muongozo hapa ingufaa zaidi ili kila mtu aone maana kunawengine tunatamani kujua zaid kuhusu hili pamoja na kujifunza
Mnakuwaga mnatumia hisia kujibu sio?Habari, Ndugu Wateja.
Kwanza, tunaomba radhi kwa kuchelewa kuwajibu kuhusu suala hili. Tulipata changamoto ya muda kwenye akaunti yetu, lakini kwa sasa huduma imerejea katika hali ya kawaida.
Tafadhali, tunaomba kutufahamisha kama mlifanikiwa kupata msaada kuhusu suala la kuwanunulia wateja umeme kupitia mfumo wetu?
Asante kwa uvumilivu na ushirikiano wenu. Karibuni sana!
Mimi swali nje ya mada:Habari, ndugu mteja.
Asante sana kwa wazo lako na kwa kuonesha nia ya kushirikiana nasi.
Tafadhali fahamu kuwa masuala ya aina hii yanahusisha taratibu za kiutawala na kibiashara, hivyo yanahitaji kufanyiwa majadiliano rasmi na viongozi husika.
Kwa hiyo, kama mwenzetu alivyoshauri, ni vyema kuanza kwa kuwasilisha barua kwa Mkurugenzi Mkuu, au kutembelee ofisi zetu zilizo karibu nawe na uonane na Kiongozi wa Kituo kwa maelezo na mwongozo zaidi kuhusu utaratibu unaopaswa kufuatwa.
Asante sana na Karibu.
Habari, ndugu mteja.Mimi swali nje ya mada:
Je utaratibu upoje kuweka meter ya ziada kwenye nyumba ambayo tayari ina meter.
Mfano nina oven, deep freezer, induction na majagi sasa nahitaji mita binafsi kuepusha kelele za wapangaji wengine na kuzimiana umeme