Huyo sio saizi yanguKira la kher mzee baba msifie jiwe upate japo hata ukuu wa wilaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiondoa unafki tuseme tu ukweli.wengi tusionacho tunatafuta nafasi ya kuwa karibu na walio nacho..na bila unafki Kama alivosema mtoa maada inakuwa Ni ngumu
Achana na haya maisha, hayafai.Siku hizi ukitaka utoboe mapema kimaisha ishi maisha ya kinafki nafki utatoboa sana kimaisha
Nataka niwe mtu wa kusifia sifia tu kiwe kibaya kiwe kizuri nasifia tu as long as nayemsifia ana hela
nataka nipendeze kimuonekano na maisha ya kuigiza igiza ili nipate michongo ya pesa ya chap chap
maisha bila unafiki hayaendi.
Na hapa watakuja wanafiki wengine kukandia thread yangu ya kinafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi ukitaka utoboe mapema kimaisha ishi maisha ya kinafki nafki utatoboa sana kimaisha
Nataka niwe mtu wa kusifia sifia tu kiwe kibaya kiwe kizuri nasifia tu as long as nayemsifia ana hela
nataka nipendeze kimuonekano na maisha ya kuigiza igiza ili nipate michongo ya pesa ya chap chap
maisha bila unafiki hayaendi.
Na hapa watakuja wanafiki wengine kukandia thread yangu ya kinafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda CCMSiku hizi ukitaka utoboe mapema kimaisha ishi maisha ya kinafki nafki utatoboa sana kimaisha
Nataka niwe mtu wa kusifia sifia tu kiwe kibaya kiwe kizuri nasifia tu as long as nayemsifia ana hela
nataka nipendeze kimuonekano na maisha ya kuigiza igiza ili nipate michongo ya pesa ya chap chap
maisha bila unafiki hayaendi.
Na hapa watakuja wanafiki wengine kukandia thread yangu ya kinafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
wenzako walianza hivihivi kusifia wanaume wenzao na mwishowe wakabanduliwa kibogaSiku hizi ukitaka utoboe mapema kimaisha ishi maisha ya kinafki nafki utatoboa sana kimaisha