Kwa hoja zifuatazo
1 Kuoa mwanamume aoe infinitely kulingana na uwezo wake.
2. Kuoa mke mmja ni dalili ya uroho na kukosa ukarimu Kwa wengine.
3. Mwanamke anaweza kuoa wanaume zaidi ya mmja kulingana na uwezo wake
4. Kwamba Mungu ni upendo.
5.kwamba hakuna aliye Bora kuliko wengine,hakuna madaraja watu wote ni sawa.
6 Kwamba uovu haukubaliki.
7 Kwamba dini zilizopo Zina ubaguzi sana.
8 Kwamba binadamu wanatakiwa kusaidiana Kwa Hali na mali.
9. Kwamba binadamu tunatakiwa kuishi Kwa kiasi na kusaidia wengine.
10. Kwamba Kuna maisha baada ya kifo.
11. Kwamba uzinzi hautakuwa dhambi ni njia ya watu kuongezeke,ila lazima uwajibike.
12. Kwamba unaweza kula chochote mradi usiudhi wengine.
13 Kwamba ushoga hautaruhusiwa
14 Ndoa zifangike bila gharama kubwa.
15. Kwamba mazishi yawe simple
16. Cremation inaruhusiwa.
17. Viwanja vya makaburi vinaweza tumika Kwa matumizi Mengine.
18. God is there na hayuko complicated kihivyo.
19. Mungu anawapenda watu wote