TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Wa- mbulu na Wa -iraki wote ni ndugu!
Wakuu naomba mniombee sana Mungu anipatie uhai hadi mwakani!
Ndoto yangu ni kuwasaidia Watanzania (Hasa Vijana wenzangu) na Taifa Kwa Ujumla.Nimekaa nikiangalia namna Vijana wadogo waliopangiwa Kusoma vyuo hapa Dar es salaam namna wanavyopata taabu kupata Nyumba ya kukaa, inawalazimu mabinti wadogo kupanga chumba kimoja na kukaa hadi watu 3!,kiukweli nawaonea huruma sana!
Kwakuwa Mungu amenibariki kitu kidogo, mwakani Nina mpango wa kununua uwanja au Viwanja zaidi ya 2 hapo Kigamboni na kuanza ujenzi wa Nyumba kadhaa zitakazokuwa na vyumba vingi Kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo tu hasa waliopangiwa huko Kigamboni maana Nyumba za kawaida zinagharama kubwa sana!
Nimeamua ya kwamba,Nyumba hizo zitakapokamilika, wanafunzi hawatalipia hata mia Kwa miaka 2 ya masomo yao!, ule mwaka wa mwisho ndipo wataanza kulipia lakini itakuwa Kwa pesa ndogo ambayo kimsingi itakuwa ni Kwa ajili ya ukarabati wa majengo hayo!
EEh Mungu nisaidie!