Nataka nijiajiri kwenye bodaboda, mawazo yenu please

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
429
Habari wana JF.

Ni karibu mwaka sasa tangu nimalize masomo yangu ya chuo kikuu na hatimaye kutunukiwa shahada yangu ya kwanza. Nimekuwa nikituma maombi ya kazi sehemu mbali mbali nikiamini kuwa ningefanikiwa lakini mpaka saa hii bado sijafanikiwa kujiajiriwa. Kimsingi napenda kujiajiri ingawaje nilikuwa sina pa kuanzia,sasa hivi majuzi kuna mzalendo mmoja ananipa piki piki kwa mkopo ili niifanyie kazi na hatimaye kurudisha mkopo wote kwa vile tulivyoelewana.

Kilichonisukuma hasa kuja humu ni kujaribu kupata mawazo yenu ya kujua hasa ni "kijiwe" au "route" ipi inafaa na angalau yenye wateja na ambayo haina usumbufu sana wa askari hapa jijini Dar ambayo naweza kupata angalau 20,000 kwa siku maana kwa taarifa zisizo rasmi nilizozipata ni kuwa unaweza kupata hata 30,000-40,000 au zaidi ya hapo kama ukikomaa kwa siku. Nakaribisha mawazo yenu please wadau,nikipata mawazo toka ambaye ame/anafanya kazi hii au hata yule mwenye uelewa /uzoefu katika hili ntashukuru. Naamini piki piki hii itanipigisha hatua na hata baadae kutokuwaza tena kuhusu kuajiriwa.

Karibuni wadau tulijenge taifa.

Asante.
 
Kwanza nakupongeza Sana kwa mawazo yako,sio wenzio wanalaumu tu serikali kuhusu ajira wakati vyuo ni vingi kila mwaka maelfu wanamaliza chuo sasa serikali gani itaajiri watu karibia laki tatu kwa mwaka.

Wazo zuri sana:
Mie nitakupa uzoefu kwa kadri nitakavyojaaliwa,mie ni mmiliki na uzoefu wa biashara ya Bodaboda na vi Suzuki Carry.
a)Namna ya kufanya:
Kwanza watu wengi watakukatisha tamaa kwa kusema kwamba zimekuwa nyingi na zinatumika katika matukio,sasa kama katika maisha unafuata watu wenye kukukatisha tamaa basi haufiki.
Kwanza mwambie Aliekukopa asizidi sh efly 10 kwa siku,na umpe kwa wiki au kwa vyovyote mtakavyokubaliana.
Maana mie hesabu kwangu kila moja dereva analeta Tsh:50,000 kwa wiki bila mkataba wa kubakia nayo,na kila muda nauza kisha nanunua mpya.
Hesabu ambayo madereva wanapata kivyao nasikia ni 20,000 mpaka 30,000 kwa siku.
b)Kijiwe au Route
Hii biashara haina kituo maalum,na ndio maana hadi ndani ya mitaa unakuta kwenye njia panda mtu ametega,cha msingi ni kwamba ukipata mteja mmoja hakikisha hakutoki,jaribu kumpa number yako ya sim au tengeneza business cards hata kama ataitupa lakini wapo watakao hifadhi na wakipata utulivu wata save number,maana unajua abiria akishuka na ukitaka kumpa number anaona unamchelewa ila ukimpa Card basi ataweka na ku save number kwa muda wake.
Kuwa mcheshi wa abiria na kuamuaminifu kwao,na pia usiwe na tamaa.Tambua kwamba Biashara hii ukiweza kumkamata vizuri abiria basi ujue hadi familia yake umeikamata.
Mie ninae Dereva wangu mmoja amepata Tenda ya kupeleka watoto wa jamaa mmoja shule na kumlipa kwa mwezi.
Kwahiyo Jaribu kuwa mbunifu.
Pia weka uwezo wako wa Elim pembeni,maana biashara hii haihtaji kujisikia,maana ipo kiswahili sana be normal.

d)Traffic:-
Hana tatizo sana labda utake mwenyewe,muhim hakiksha kwamba una Helmet na vibalivyote
Nunua Helmet yako kubwa na ile ya Abiria iwe ile ndogo,maana abiria wengi hawapendi Zile helmest kubwa,pia angalia njia gani unakwenda,kuna njia unaweza ukavaa wewe then abiria akapotezea.
Mara nyingi Trafif akikumata anakulamba buku tano

e)Bima:
Hakikina unakata Comprehensive Insurance au Full Bima kiswanglish,hii itakulinda wewe na chombo chako na ni salama sana kwako kwakuwa chombo sio mali yako.
f)Heshima
Jaribu sana kuwa makini na mambo ya mabinti,wataku lostisha,maana faida yenyewe ni kidogo unaweza kupoteza muda mwingi kwao huku kazi inakushinda.

Mwanzo inasumbua sana unaweza kukata tamaa,lakini lazima u face changamoto kama kijana
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako, nataka kujua garama za bima kwa pikipiki
 
Asante Zanzibar spices kwa ushauri wako na kunitia moyo pamoja na kunipa maonyo.
Ntajitahidi kufanya vile inavyotakiwa na kufuata ushauri wako.
Kama hutajali ntakuja PM pale ntakapohitaji maelezo fulani ya ndani maana naona unachokifanya ni hatua ninazotaraji kupita ili nifikie ndoto zangu.
Asante sana..
 
Habari wana JF.

Ni karibu mwaka sasa tangu nimalize masomo yangu ya chuo kikuu na hatimaye kutunukiwa shahada yangu ya kwanza. Nimekuwa nikituma maombi ya kazi sehemu mbali mbali nikiamini kuwa ningefanikiwa lakini mpaka saa hii bado sijafanikiwa kujiajiriwa. Kimsingi napenda kujiajiri ingawaje nilikuwa sina pa kuanzia,sasa hivi majuzi kuna mzalendo mmoja ananipa piki piki kwa mkopo ili niifanyie kazi na hatimaye kurudisha mkopo wote kwa vile tulivyoelewana.

Kilichonisukuma hasa kuja humu ni kujaribu kupata mawazo yenu ya kujua hasa ni "kijiwe" au "route" ipi inafaa na angalau yenye wateja na ambayo haina usumbufu sana wa askari hapa jijini Dar ambayo naweza kupata angalau 20,000 kwa siku maana kwa taarifa zisizo rasmi nilizozipata ni kuwa unaweza kupata hata 30,000-40,000 au zaidi ya hapo kama ukikomaa kwa siku. Nakaribisha mawazo yenu please wadau,nikipata mawazo toka ambaye ame/anafanya kazi hii au hata yule mwenye uelewa /uzoefu katika hili ntashukuru. Naamini piki piki hii itanipigisha hatua na hata baadae kutokuwaza tena kuhusu kuajiriwa.

Karibuni wadau tulijenge taifa.

Asante.

mkuu sina uzoefu na bodaboda ila hongera kwa maamuzi uliyofikia, wapo watakaokucheka na kukubeza...ila kikubwa ni kuwa na malengo yako kichwani, maadam kaz utafanya mwenyewe amini kuwa utafika mbali, ila epuka tamaa za wanawake watakupoteza!!
 
Asante tindikalikali kwa ushauri wako, ntaufanyia kazi..
 
Asante Zanzibar spices kwa ushauri wako na kunitia moyo pamoja na kunipa maonyo.
Ntajitahidi kufanya vile inavyotakiwa na kufuata ushauri wako.
Kama hutajali ntakuja PM pale ntakapohitaji maelezo fulani ya ndani maana naona unachokifanya ni hatua ninazotaraji kupita ili nifikie ndoto zangu.
Asante sana..
Usijali kuwa huru,
Bima kwa sasa ni Tsh:150,000 Comprehensive Insurance(Hii ni kwa Pikipiki Aina ya Boxers ambazo mie ndio natumia)
Lakini Jua kwamba mara nyingi bima inaendana na percentage ya gharama ya ya ununuzi ila kwa Pikipiki karibu zote zinafanana
Angalizo:-Jaribu kumbana anaekukopesha kwamba akununulie aina ya Boxer,maana inadum zaidi ya miaka miwili na pia ni tofauti sana na hizi nyingine kwa uimara,na pia haina vibrations kama jinsi watu tunavyopenda kuita, kama ya hizi nyingine ambazo zinatetemesha na abiria wengi wanependa kutumia Boxers.
Kama huna pesa ya kununua Boxer mpya basi Ni bora ununue Boxer iliyotumika kuliko kununua Slg au Toyo mpya.
 
Asante kwa ushauri wako mzuri.
 
Back
Top Bottom