Wakuu wasalaam.
Mimi ni mwalimu idara msingi mwaka wa 5 huu kazini.
Kutokana na changamoto za kazi yetu hii nimewaza kujiendeleza kwani sihitaji kubaki hapa nilipo.
Niliwaza kwenda ngazi ya Diploma au kwenda advance kwani ninazo alama za kwenda advance!
Je, ipi ni njia nzuri zaidi?