Kama ni masomo ya Arts nenda advance na kama ni masomo ya Science, nenda tu DiplomaWakuu wasalaam.
Mimi ni mwalimu idara msingi mwaka wa 5 huu kazini.
Kutokana na changamoto za kazi yetu hii nimewaza kujiendeleza kwani sihitaji kubaki hapa nilipo.
Niliwaza kwenda ngazi ya diploma au kwenda advance kwani ninazo alama za kwenda advance!
Je, ipi ni njia nzuri zaidi?
Wataka kuendelea na fani gani kwa ngazi ya digrii?Wakuu wasalaam.
Mimi ni mwalimu idara msingi mwaka wa 5 huu kazini.
Kirahisi hivyo? MdanganyeKama ww ni mwalimu nenda diploma ya It badae unaomba kuhamia kada nyingine ama uhasibu Hadi Raha siku hizi
Hapo ulipo ina maana ulikuwa na elimu ya cheti(certificate)?Wakuu wasalaam.
Mimi ni mwalimu idara msingi mwaka wa 5 huu kazini.
Kutokana na changamoto za kazi yetu hii nimewaza kujiendeleza kwani sihitaji kubaki hapa nilipo.
Niliwaza kwenda ngazi ya diploma au kwenda advance kwani ninazo alama za kwenda advance!
Je, ipi ni njia nzuri zaidi?
Ndio nina certificate tuHapo ulipo ina maana ulikuwa na elimu ya cheti(certificate)?
Ndio n arts nashukuruKama ni masomo ya Arts nenda advance na kama ni masomo ya Science, nenda tu Diploma
Asante sana kwa ushauri nitauzingatiaElimi Elimi Elimu in Lowassa's voice
Kapige shule Mzee!
Utapata nafasi ya kubadilisha
Kwahiyo ualimu ni kada isiyofaa ?Kama ww ni mwalimu nenda Diploma ya IT badae unaomba kuhamia kada nyingine ama uhasibu Hadi Raha siku hizi