karibu katika IT field ila jitahid kuelewa mambo na sio kukariri, jitahid kuvijua vitu practical badala ya kung'ang'ania maandishi ili ufaulu pepa tu baada ya kumaliza kuna mtiti mzito
1.new horizons ...........
2.learn it
3.aptech................................ifm,mzumbe,udsm,st.joseph na dit hawana walimu wazuli wa it na hata walimu wao hawana sifa za kufundisha it certifications