Nataka nikasome Pharmacy Kampala International University

Nataka nikasome Pharmacy Kampala International University

Kwenu kunahela dada mmh 10 milion kwa mwaka haya nenda ajira kwa kozi hiyo utapata ila kuhusu hicho chuoo mmh km utata ila niliskia wanatambulika hao na tcu
 
Kampala utasanda bi dada. Tafuta chuo kizuri. Kapige njoo uniuzie cheti nitakulipa kila mwezi phamacy yangu inahitaji phamacist,
 
Mbona mnaiponda sana kampala wakuu.Kama hakina sifa,TCU wangekizuia...Kuhusu ada,tayari wamepunguza.
 
Back
Top Bottom