Nataka nikasome Pharmacy Kampala International University

Baraka Ngwavi

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Wadau nataka nikasome bachelor ya pharmacy kampala internationa university(dar) vp ajira?
 
Kwenu kunahela dada mmh 10 milion kwa mwaka haya nenda ajira kwa kozi hiyo utapata ila kuhusu hicho chuoo mmh km utata ila niliskia wanatambulika hao na tcu
 
Kampala utasanda bi dada. Tafuta chuo kizuri. Kapige njoo uniuzie cheti nitakulipa kila mwezi phamacy yangu inahitaji phamacist,
 
Mbona mnaiponda sana kampala wakuu.Kama hakina sifa,TCU wangekizuia...Kuhusu ada,tayari wamepunguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…