TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Kuna msomi mmoja alishawai sema "even rotten tomato has a place to sell",akimaanisha hata nyanya zilizooza zina sehemu ya kuuza .Wee endelea tu kubisha.Business Idea selling, is Business??
Portfolio | 2020
2M ni pesa ndogo sana kufanyia biashara ,jipige pige ukope hata 10M uje nikupe wazo la biashara na location pia naku pointia .
Maana frem hiyo location wanapangisha 600,000/= kwa mwezi na mwenyewe anataka malipo ya mwaka sababu hakai Tz sawa na 7.2M ikibaki 2.8M ni kwa ajiri ya biashara.
Nakuakikishia hiyo 10M ndani ya mwezi inakuwa isharudi yaani hakuna kufeli.
Mmmh mkuu mimi siyo mtaalam sana wa buashara lakini hii ngumu kumeza ....yaanu frem nikipe m7 na mtaji m2 hapa naomba msaada wa kimawazo zaidi umeniacha gizan2M ni pesa ndogo sana kufanyia biashara ,jipige pige ukope hata 10M uje nikupe wazo la biashara na location pia naku pointia .
Maana frem hiyo location wanapangisha 600,000/= kwa mwezi na mwenyewe anataka malipo ya mwaka sababu hakai Tz sawa na 7.2M ikibaki 2.8M ni kwa ajiri ya biashara.
Nakuakikishia hiyo 10M ndani ya mwezi inakuwa isharudi yaani hakuna kufeli.
Mmmh mkuu mimi siyo mtaalam sana wa buashara lakini hii ngumu kumeza ....yaanu frem nikipe m7 na mtaji m2 hapa naomba msaada wa kimawazo zaidi umeniacha gizan
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ni location hata huwe na mtaji wa billions ukikosea kupoint best location hiyo biashara lazima ife.Mmmh mkuu mimi siyo mtaalam sana wa buashara lakini hii ngumu kumeza ....yaanu frem nikipe m7 na mtaji m2 hapa naomba msaada wa kimawazo zaidi umeniacha gizan
Sent using Jamii Forums mobile app