Nataka nimalize mwaka na firex

mandingo 94

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
269
Reaction score
194
Hàbar Wana ndugu kijana mwezenu nipo mnele yenu nataka kujifunza biashara ya forex na sijui kwa kuanzia naombeni msaada kwaanaye juwa Mambo haya
 
For telegram user

Anayehitaji kujifunza
*forex basic
*advanced course,candlestic pattern and pysology behind its formation
*Supply and demand strategy

ajoin telegram chanel

[emoji1427]
 
Hii dunia haita kuja kuisha wajinga [emoji1787][emoji848][emoji117]
 
Hàbar Wana ndugu kijana mwezenu nipo mnele yenu nataka kujifunza biashara ya forex na sijui kwa kuanzia naombeni msaada kwaanaye juwa Mambo haya

Kama unashuguli za kukuwekea kipato kazana nayo. forex asilimia 95 ni risk .hakuna utajiri wa haraka kule
 
Hàbar Wana ndugu kijana mwezenu nipo mnele yenu nataka kujifunza biashara ya forex na sijui kwa kuanzia naombeni msaada kwaanaye juwa Mambo haya
Kama ni kujifunza tu hujachelewa lakini msimu wa forex kwa mwaka unakaribia kukoma ...unaishia November mwishoni na soko litarudia hali yake next year kuanzia tarehe 15 hivi.

Hii inatokana na wenzetu majuu huanza likizo zao Disemba na mashirika mengi pia hufunga mahesabu ya mwaka.
So soko huwa liko hovyo sana sana
 
market is not subject to a seasonal effect in that at certain times of the year, month or even week, prices can rise or fall
 
Hakuna malipo
 
Mim naona Kama watu wanafanikiwa hivi
Mara nyingi zinaouwaga show off ili wawapige watu kwenye training, we hujiulizi kama mtu anapata hela kwanini ahangaike kufundisha watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…