mandingo 94 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 269 Reaction score 194 Nov 18, 2022 Thread starter #21 Ismoo said: Hii dunia haita kuja kuisha wajinga [emoji1787][emoji848][emoji117] Click to expand... Endelea na ujinga wako ufe masikini
Ismoo said: Hii dunia haita kuja kuisha wajinga [emoji1787][emoji848][emoji117] Click to expand... Endelea na ujinga wako ufe masikini
mandingo 94 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 269 Reaction score 194 Nov 18, 2022 Thread starter #22 chizcom said: Kama unashuguli za kukuwekea kipato kazana nayo. forex asilimia 95 ni risk .hakuna utajiri wa haraka kule Click to expand... Mim cna haraka na utajir nataka nifanikiwe tu
chizcom said: Kama unashuguli za kukuwekea kipato kazana nayo. forex asilimia 95 ni risk .hakuna utajiri wa haraka kule Click to expand... Mim cna haraka na utajir nataka nifanikiwe tu
mandingo 94 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 269 Reaction score 194 Nov 18, 2022 Thread starter #23 Lavit said: Mara nyingi zinaouwaga show off ili wawapige watu kwenye training, we hujiulizi kama mtu anapata hela kwanini ahangaike kufundisha watu? Click to expand... Dunia yote wafanye shwo off kwer broo
Lavit said: Mara nyingi zinaouwaga show off ili wawapige watu kwenye training, we hujiulizi kama mtu anapata hela kwanini ahangaike kufundisha watu? Click to expand... Dunia yote wafanye shwo off kwer broo
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Nov 18, 2022 #24 mandingo 94 said: Dunia yote wafanye shwo off kwer broo Click to expand... Sasa wewe kuwa mbishi, kama unataka kupoteza muda basi ingia huko. Mi nakushauri tafuta shughuli nyingine ya kufanya.
mandingo 94 said: Dunia yote wafanye shwo off kwer broo Click to expand... Sasa wewe kuwa mbishi, kama unataka kupoteza muda basi ingia huko. Mi nakushauri tafuta shughuli nyingine ya kufanya.
mandingo 94 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 269 Reaction score 194 Nov 18, 2022 Thread starter #25 Lavit said: Sasa wewe kuwa mbishi, kama unataka kupoteza muda basi ingia huko. Mi nakushauri tafuta shughuli nyingine ya kufanya. Click to expand... Pamoja Sana kiongozi
Lavit said: Sasa wewe kuwa mbishi, kama unataka kupoteza muda basi ingia huko. Mi nakushauri tafuta shughuli nyingine ya kufanya. Click to expand... Pamoja Sana kiongozi