Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
Na wewe si mkubwa tu baba matatizo! Saidia kumpeleka mdogo wako shule bana. Dingi keshakuwa cha pombe huyo!
Zungumza naye kwanza, ikishinfikana tumia wazee wenzake (baba mkuwa au baba mdogo) ikigonga mwamba peleka Ustawi fasta, mwehi huyo!
Mbona hii ndio ajila ya Watanzania wengi tu,....kaka sina ajira kwa sasa.naishi kwa timing!
Baba yangu hataki kutunza familia kabisaaa.vikao vyote vimeshindwa kumrekebisha.mdogo wanguw kafaulu kuanza shule ya kata.ada ni kianzio ni laki na nusu.mpaka sasa hakuna linaloendelea.pombe anakunywa kila siku.mshahara wake +
posho ni kama laki 7 kwa mwezi.NATAKA NIKAMSHITAKI USTAWI WA JAMII KWA KUSHINDWA KULEA FAMILIA NA KUTOMPELEKA MTOTO SHULE BILA SABABU.JE INAWEZEKANA KUMPELEKA USTWAI WA JAMII?NAOMBENI MAWAZO.
Nenda kwa bosi wake kwa siri ofisini kwake
Eleza tatizo hilo kwa ufasaha (hasa issue ya ada ya shule) ..usiongeze jingine tahadhari
Mwambie mwajiri akusaidie fedha ikatwe kwenye mshahara wa baba yako ipelekwa moja kwa moja shule
Toa ahaddi ya kupeleka riziti ya malipo..
itasaidia
kaka sina ajira kwa sasa.naishi kwa timing!
Kwahiyo kuna thread huwa mnachaguwa, kuna za kujitoa akili na nyingine kama hii ndio unabeba akili zako unakuja nazo!!
Ur in the same category, mnachotofautiana tu ni kwamba wewe tarishi wa Lowasa na yeye tarishi wa Sitta.Kwa nini umemwambia hivyo mwenzako? Kwa hiyo akili zake huwa zinahama?
Kwahiyo kuna thread huwa mnachaguwa, kuna za kujitoa akili na nyingine kama hii ndio unabeba akili zako unakuja nazo!!
Kwa nini umemwambia hivyo mwenzako? Kwa hiyo akili zake huwa zinahama?
Kuna jamaa zangu mapacha baba yao alikuwa na tabia kama hizo. Siku mmoja wakamkamata na kumtia mijeledi ile mbaya. Mpaka leo kashika adabu tena yeye ndo kageuka kuwa mshauri mkuu. Chukueni hatua za mwanzo. Ikishindikana mnaweza kufanya kama hao mapacha.
Jikakamue najua unamuogopa maana wazazi wengi wa kiafrika wanatumia ukali kama ngao ya kutorekebishwa na watoto.
Hakikisha siku hiyo hajanywa, usije mshauri hilo suala huku amalewa!
Najua kuna watu watasema walee wewe kwakuwa umekuwa sasa yeye hela yake atafanyia kazi gani? na kama bado anafanya kazi huyo ananguvu zake...atimize wajibu wake....wewe unuweza kuwa unasaidia kidogo....maana hata wewe unahitaji kuwa na watoto na mke nani atakutuzia?
nenda kwa bosi wake kwa siri ofisini kwake
eleza tatizo hilo kwa ufasaha (hasa issue ya ada ya shule) ..usiongeze jingine tahadhari
mwambie mwajiri akusaidie fedha ikatwe kwenye mshahara wa baba yako ipelekwa moja kwa moja shule
toa ahaddi ya kupeleka riziti ya malipo..
Itasaidia