Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
- Thread starter
-
- #21
mpeleke tena haraka sana hilo linawezekana na utapata support ya kisheria haiwezekani yy kazi yake iwe kuzalisha tu then hataki matunzo,kuna sheria inambana mzazi ila wengi wetu hatuifaham hasa kwa suala la kusomesha hapo kitakachofanyika ni oda ya mahakama kwenda kazini kwake na kiasi flani cha mshahara kitakua kinakatwa ili kisaidia familia na yy atabaki na vijisent vyake kidogo vya pombe.
Tumia busara zaidi, the court is not your mother! Unampeleka baba yako mahakamani then atamlipia dogo shule ila mnaishi bila amani na upendo, tafuta wazee wenzake waongee, msipende kukimbilia mahakamani kwa kila kitu, mengine yanaweza kumalizwa kikawaida kabisa.