Napenda kuuliza magari haya ya VOLSKWAGEN Touareg,kuhusu spea,uimara na comfortability barabarani.Hii gari naipenda sana na vile vile kuna gari aina ya FORD explorer nataka ninunue kati ya TOUAREG au EXPLORER ford.naomba wenye uzoefu wa haya magari anijuze.Aksante
Sent using Jamii Forums mobile app
.Ni gari nzuri na inategemea unapendelea ipi diesel au petrol lakini zote ni nzuri kwani hata diesel huwezi kusikia ile kelele ya engine na imetulia pia barabarani ila tatizo dogo tu ikiingia kwenye potholes inaruka na unaihisi haswa labda iwe na air suspensions
Nimeendesha ikiwa mpya kabisa na haina utofauti na Q7 Audi au hata Porsche Cayenne au Bentayga na Urus zote ni SUV zinazoshabihiana
Kama umependa na mfuko umetuna chukua 3.0 ltr turbocharged V6 petrol
Sent from my iPhone using Tapatalk