Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 728
Nataka Nioe Mwanamke kama huyu, ushauri na maoni yenu tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaoa au unaolewa..?Nataka Nioe Mwanamke kama huyu, ushauri na maoni yenu tafadhari View attachment 1389339
[emoji3][emoji3]Mtafute Kenny trump yy ndo dalali wa wanawake kama hao
Joanah tu wa JF kamshindaMtafute Kenny trump yy ndo dalali wa wanawake kama hao
Kwa, hiyo bongo siwezi pata mwanamke kama huyoNenda Ethiopia au Kigali, wapo tele
Mkuu ndio hivyo, nimeamua kuwachana na ubachela
Ungekuwa ushapata au jua mahali pa kuwapataKwa, hiyo bongo siwezi pata mwanamke kama huyo
Yani Kenny fala sana huyu dogo[emoji3][emoji3], ila mimi ntamfumua mingumii akili imkae sawa[emoji2088]Kenny anadai wewe na Joanah mna-slide kwa PM yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakukumbusha kuwa samaki wa mapambo hawaliwi, ni kwa ajili ya urembo wanakuwepo kwenye aquarium yao ukienda unawatazama moyo wako unasuzika unarudi sokoni kununua kambale unakula na familia yako.Nataka Nioe Mwanamke kama huyu, ushauri na maoni yenu tafadhari View attachment 1389339
Vipi boss wanasumu au?😂😁😀Nakukumbusha kuwa samaki wa mapambo hawaliwi, ni kwa ajili ya urembo wanakuwepo kwenye aquarium yao ukienda unawatazama moyo wako unasuzika unarudi sokoni kununua kambale unakula na familia yako.