[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtafute Kenny trump yy ndo dalali wa wanawake kama hao
Umeliwa, kimbiaNataka Nioe Mwanamke kama huyu, ushauri na maoni yenu tafadhari View attachment 1389339
Ukimpata basi ni Celeb, je utaweza mwendo wake? si ubawajua mastaa wa bongo walivyo?Kwa, hiyo bongo siwezi pata mwanamke kama huyo
Njoo zenji, au nenda Kondoa, mbona wapo tele tuuNataka Nioe Mwanamke kama huyu, ushauri na maoni yenu tafadhari View attachment 1389339
Make sure mkono wake na wako imefungwa pingu all the time. Au mguu wako na wake...Nataka Nioe Mwanamke kama huyu, ushauri na maoni yenu tafadhari View attachment 1389339
Umtoa wapi?Kwa, hiyo bongo siwezi pata mwanamke kama huyo