monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Mimi ni mwajiriwa kampuni fulani hapa Dar es Salaam ila kuna kazi imetokea yenye mshahara mzuri kuliko huku nilipo sasa kulikua na mchujo hatimae tumebaki watu watano kati ya 20.
Miongoni mwa vitu ambavyo walikua wanatusisitiza sana hawataki watu ambao wapo kwenye ajira na kama umeacha au uliachishwa kazi basi wanahitaji maandishi kutoka kwa mwajiri.
Na mimi bado nipo kazin ila niliwaambia niliacha kazi kwa ajili ya kutafuta changamoto mpya je nifanye mbinu gani ili niruke hiki kiunzi interview ya mwisho ni wiki ijayo na wanatakiwa watu watatu kati ya watu watano tuliobaki.