monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Vitu vidogo kama hivi ukishindwa kuvijibu sasa hiyo kampuni utaifanyia lipi la maana kama ubongo wako umelala kiasi hiki?Mimi ni mwajiriwa kampuni fulani hapa dar es salaam ila kuna kazi imetokea yenye mshahara mzuri kuliko huku nilipo sasa kulikua na mchujo hatimae tumebaki watu watano kati ya 20
Miongoni mwa vitu ambavyo walikua wanatusisitiza sana hawataki watu ambao wapo kwenye ajira na kama umeacha au uliachishwa kazi basi wanahitaji maandishi kutoka kwa mwajiri
Na mimi bado nipo kazin ila niliwaambia niliacha kazi kwa ajili ya kutafuta changamoto mpya je nifanye mbinu gani ili niruke hiki kiunzi interview ya mwisho ni wiki ijayo na wanatakiwa watu watatu kati ya watu watano tuliobaki
Achana na michambo na mipasho, mpe msaada wa ushauri.Vitu vidogo kama hivi ukishindwa kuvijibu sasa hiyo kampuni utaifanyia lipi la maana kama ubongo wako umelala kiasi hiki?
Stupid.Achana na michambo na mipasho, mpe msaada wa ushauri.
Mkuu nahitaji ushauri sio kejeli shida ni kwamba aliyeniunganisha alimwambia mwajili nilikua kwenye ajira ila kwa sasa sipo tena kwenye ajiraVitu vidogo kama hivi ukishindwa kuvijibu sasa hiyo kampuni utaifanyia lipi la maana kama ubongo wako umelala kiasi hiki?
Katafte mashoga wenzio mkachambane huko wewe cuma.Stupid.
Kama alisema haupo tena kwenye ajira bc kwenye usaili huwezi kuambiwa ulete barua kutoka kazi ya awali ila tuu utaulizwa n kipi kilikuondoa kwenye kazi ya awali, sasa hapo ndio utafute sababu labla kusema mkataba uliisha na wao hawakutaka kuongeza mkataba mwngnMkuu nahitaji ushauri sio kejeli shida ni kwamba aliyeniunganisha alimwambia mwajili nilikua kwenye ajira ila kwa sasa sipo tena kwenye ajira
........ La mama akoooo.🚮🚮Katafte mashoga wenzio mkachambane huko wewe cuma.
Wanadai kwamba kuna mwajiriwa fulani alishawahi kukamatwa na polisi akiwa kwao sababu aliharibu huko alipotoka hivyo basi imani yao kwa wale waliokua kwenye ajira waje na maandishi kutoka kwa mwajiriwaKama alisema haupo tena kwenye ajira bc kwenye usaili huwezi kuambiwa ulete barua kutoka kazi ya awali ila tuu utaulizwa n kipi kilikuondoa kwenye kazi ya awali, sasa hapo ndio utafute sababu labla kusema mkataba uliisha na wao hawakutaka kuongeza mkataba mwngn
Sasa kwan kuna uwezekano wa kupata barua kwa kazi ambayo huifanyi kwa wakat huo, labla kama maboss wa hy kampuni umewaandika kama wadhamini wakoWanadai kwamba kuna mwajiriwa fulani alishawahi kukamatwa na polisi akiwa kwao sababu aliharibu huko alipotoka hivyo basi imani yao kwa wale waliokua kwenye ajira waje na maandishi kutoka kwa mwajiriwa
Na hili halipingiki sababu wanahitaji watu wenye uzoefu inamaana kama unauzoefu basi ulishawahi kuajiliwa hivyo wanataka maandishi ili yasijorudie tena yale yaloyokwishatokea hapo awali
Hapana sijawaandika kama wadhamini yaani hili swala kwangu naona kama geni nimeshazoea mara nyingi mwajiri anataka kujua kwa nini umeacha kaziSasa kwan kuna uwezekano wa kupata barua kwa kazi ambayo huifanyi kwa wakat huo, labla kama maboss wa hy kampuni umewaandika kama wadhamini wako
Unasema tuu mkataba uliishaHapana sijawaandika kama wadhamini yaani hili swala kwangu naona kama geni nimeshazoea mara nyingi mwajiri anataka kujua kwa nini umeacha kazi
Mkataba ukiisha unafahamishwa kwa barua na kisha unapewa certificate of service, sasa hivyo anavyo?. Jambo la msingi asifoji na awe mkweli. Aseme tu kua yupo kibaruan lakini analipwa mshahara kidogo ambao haukidhi mahitaji yake na mazingira ya kazi sirafiki kwake. Kwahio ataandika barua ya ku resign kama watamuona anafaa kufanya kazi nao.Unasema tuu mkataba uliisha
Ushauri mzuri ila suala la kuandika barua linaweza kua gumu sababu nahitaji ile pesa ya mfuko wa jamii niongezee kwenye kibiashara changuMkataba ukiisha unafahamishwa kwa barua na kisha unapewa certificate of service, sasa hivyo anavyo?. Jambo la msingi asifoji na awe mkweli. Aseme tu kua yupo kibaruan lakini analipwa mshahara kidogo ambao haukidhi mahitaji yake na mazingira ya kazi sirafiki kwake. Kwahio ataandika barua ya ku resign kama watamuona anafaa kufanya kazi nao.
Huwezi kupata hio pesa, bila kuachishwa kazi.Ushauri mzuri ila suala la kuandika barua linaweza kua gumu sababu nahitaji ile pesa ya mfuko wa jamii niongezee kwenye kibiashara changu
Punguza tamaa ndugu. Ukiwa too ambitious unaweza kosa vyote. Unataka ajira mpya hapo hapo unataka ela ya mafao.Ushauri mzuri ila suala la kuandika barua linaweza kua gumu sababu nahitaji ile pesa ya mfuko wa jamii niongezee kwenye kibiashara changu
Sasa kwa nini huyo aliyekuunganisha asikupe mawazo kwenye hilo jambo?Mkuu nahitaji ushauri sio kejeli shida ni kwamba aliyeniunganisha alimwambia mwajili nilikua kwenye ajira ila kwa sasa sipo tena kwenye ajira
Dishonest can disqualify you. Cheza vizuriMimi ni mwajiriwa kampuni fulani hapa Dar es Salaam ila kuna kazi imetokea yenye mshahara mzuri kuliko huku nilipo sasa kulikua na mchujo hatimae tumebaki watu watano kati ya 20.
Miongoni mwa vitu ambavyo walikua wanatusisitiza sana hawataki watu ambao wapo kwenye ajira na kama umeacha au uliachishwa kazi basi wanahitaji maandishi kutoka kwa mwajiri.
Na mimi bado nipo kazin ila niliwaambia niliacha kazi kwa ajili ya kutafuta changamoto mpya je nifanye mbinu gani ili niruke hiki kiunzi interview ya mwisho ni wiki ijayo na wanatakiwa watu watatu kati ya watu watano tuliobaki.
Vitu vingine mtu unajiingiza kwenye matatizo bila ulazima wowote. Wewe siyo mfanyakazi mwaminifu hata kidogo. Sasa kwa nini uliongopa?Ushauri mzuri ila suala la kuandika barua linaweza kua gumu sababu nahitaji ile pesa ya mfuko wa jamii niongezee kwenye kibiashara changu