Nataka nipande miparachichi, naomba ushauri wenu

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Mwenye ufahamu juu ya hiyo miparachichi naomba anijuze kwani nipo Wilayani Kilolo-Iringa,ni eneo lenye mvua nyingi za masika,joto la wastani,udongo wake ni mgumu na ni kama mwekundumwekundu,je,kwa hizo details zaweza kustawisha vyema matunda hayo?

THANKS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…