Wakuu habari za majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Nataka nipate mchango wenu ambao tayari wa uelewa wa mambo haya. Kutoka Tanzania mpaka Uganda inaweza kukost kiasi gani kuisafirisha. Na inaweza kuchukua mda gani mpaka kunifikia mikononi mwangu ikiwa salama?