Nataka nisiwahi kupiga bao nifanyaje?

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
Mimi tataizo nataka nichelewe kupiga bao,wakati nikifanya mapenzi...cpendi kuwai kama unavyo jua bao la kwanza linawai kutoka nifanyaje?ili nichelewe?
 
mmmh ngoja upokee miushaur ndugu hakukosekanag majib humu ndan ngoja 2 wahusika watakujib
me napita 2 ....
 
ongeza mautundu, mchezee mwinzio acha kukimbila tundun
 
Mimi tataizo nataka nichelewe kupiga bao,wakati nikifanya mapenzi...cpendi kuwai kama unavyo jua bao la kwanza linawai kutoka nifanyaje?ili nichelewe?

Kuna njia nyingi zinazofanya mtu akawahi kupiga bao wakati wa kujamiana mojawapo ni punyeto za mara kwa mara.

Nawasilisha
 
Mimi tataizo nataka nichelewe kupiga bao,wakati nikifanya mapenzi...cpendi kuwai kama unavyo jua bao la kwanza linawai kutoka nifanyaje?ili nichelewe?

Uchelewe kwa muda gani? Na kwa sasa unatumia muda gani?
Tujibu wataalamu tukusaidie ndugu.
 
kwanza kama sio mnywaji kunywa red bull kama 2 hv au kama unakunywa piga konyagi ndogo plus red bull 2 hv uone shughuli yake ndugu mbona hio mechi inaweza kuahirishwa lazima mtoto atasahau wote waliompitia au kama ni wako hatoki tena
 
Hao wote juu wanakuzingua tu ndugu yangu....cha kufanya nenda google usearch kegel exercises!
Utaona video tutorials
Kila la kheri!
 
Ukikaribia kupiga bao kumbuka matukio mabaya yaliwahi kukutokea. Mfano..kumbuka jinsi ulivyokoswa koswa kuliwa kiboga na majambazi etc utaona bao linarudi lenyewe halafu unaanzan upya!
 
Mimi tataizo nataka nichelewe kupiga bao,wakati nikifanya mapenzi...cpendi kuwai kama unavyo jua bao la kwanza linawai kutoka nifanyaje?ili nichelewe?
Fanya mapenzi na mwanamke asiye na mvuto na usiyempenda.
 
Wakati unafanya mapenzi usiweke mawazo yako yote kwenye mchezo kufanya hivyo utapiga bao haraka, Fanya kuangalia TV au kusikiliza radio wakati wa mapenzi itasaidia kupunguza kasi ya kupiga bao haraka. Au unaweza ukawa wakati una-do mfikirie mtu unayemchukia kuliko wote duniani, mtu ambaye ambaye unaona ni mbaya wako katika maisha yako, kama ni mwalimu shuleni, au kiongozi fulani, hata mzee mzima kama una hasira naye sana basi we mfikirie wakati huo itakusaidia sana kuchelewa kupiga bao na hivyo kumfurahisha mwenza wako vizuri,

Merry X-mass and Happy Nu Ia.
 
Ukikaribia kupiga bao kumbuka matukio mabaya yaliwahi kukutokea. Mfano..kumbuka jinsi ulivyokoswa koswa kuliwa kiboga na majambazi etc utaona bao linarudi lenyewe halafu unaanzan upya!

this one takes the cake-Gaijin
 
kwanza kama sio mnywaji kunywa red bull kama 2 hv au kama unakunywa piga konyagi ndogo plus red bull 2 hv uone shughuli yake ndugu mbona hio mechi inaweza kuahirishwa lazima mtoto atasahau wote waliompitia au kama ni wako hatoki tena

Hii njia sishauri, mi nimeitumia hapa juzi juzi tu. Tatizo lake ni kwamba hupigi bao kabisa, mshedede unasimama wima tu hata 2 hours. Utamchosha tu mwenzio maana hutapiga bao.
 
dah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…