Nataka nisiwahi kupiga bao nifanyaje?

ukitaka kupiz chomoa alafu ziba katundu kakujolea kwa kidole hautapizi mapema
 
 
Duuh ushauri mwingne kama nguvu zagiza vle, bt jitahd mazoezi kwa sana, na pia mazoezi ya kegel
 
Kweli sisi wanaume ni machizi hatujui tutakalo,kama hautaki kuwahi basi usimgonge,raha ya mechi bao bwana sasa kama hautaki kupiga bao basi unamatatizo,nani kakwambia ukichelewa kupiga bao ndo kumridhisha demu? Au unawazungumzia mademu ambao ni ngonoholic? Bao la kwanza uwahi kutoka bwana na ni tamu kweli ila la pili inategemea na machejo ya demu wako au maujuzi yako tu,jiachie mwana piga hata ndani ya dkk 1 poa tu
 
Hii njia sishauri, mi nimeitumia hapa juzi juzi tu. Tatizo lake ni kwamba hupigi bao kabisa, mshedede unasimama wima tu hata 2 hours. Utamchosha tu mwenzio maana hutapiga bao.


hahahahahah lol.....
 
Mimi tataizo nataka nichelewe kupiga bao,wakati nikifanya mapenzi...cpendi kuwai kama unavyo jua bao la kwanza linawai kutoka nifanyaje?ili nichelewe?

Usiwaze kuwa upo mchezoni, jaribu kuwaza yule jamaa anayekudai au waza unalima mahindi au pia mkumbuke yule jamaako aliyechali kwa ukimwi!
 
Mimi tataizo nataka nichelewe kupiga bao,wakati nikifanya mapenzi...cpendi kuwai kama unavyo jua bao la kwanza linawai kutoka nifanyaje?ili nichelewe?
Inaonyesha una matatizo ya Upungufu wa nguvu za kiume Dawa yake bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawaza-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html

Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume
Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.

Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 9 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.​
 
Ukikaribia kupiga bao kumbuka matukio mabaya yaliwahi kukutokea. Mfano..kumbuka jinsi ulivyokoswa koswa kuliwa kiboga na majambazi etc utaona bao linarudi lenyewe halafu unaanzan upya!

hahahahaha dah....mchaka mchaka u made my day...lol
 
Pole sana mkuu wakati mimi naweza unganisha goli tatu bila kufuta cha kwanza ww una hali hyo,ok binafsi najifanyaga nawaza mambo mengine kabisa huku nikipga gemu mfano kama namdai mtu,naweza fanya namkumbuka hata mwl alieninyoa nywele zangu while zilikua ndefu etc etc etc,hebu jaribu mkuu utaenjoy game hayo mengne ya pombe na nn mie cjawahi hata cku moja kwani situmii
 
Ukikaribia kupiga bao kumbuka matukio mabaya yaliwahi kukutokea. Mfano..kumbuka jinsi ulivyokoswa koswa kuliwa kiboga na majambazi etc utaona bao linarudi lenyewe halafu unaanzan upya!
Ushauri wako unafanana na macho yako kwenye hiyo picha mkuu
 
nafikiri fanya mazoezi ya mwili then utaona changes
 
ukikaribia kupiga bao kumbuka matukio mabaya yaliwahi kukutokea. Mfano..kumbuka jinsi ulivyokoswa koswa kuliwa kiboga na majambazi etc utaona bao linarudi lenyewe halafu unaanzan upya!

duh!kweli dunia ina mambo.nimechkaaaa sana.
 
cha msingi fanya mazoezi kama kukimbia kimbia then utauona mziki wake
 
Ngoja ukomae vinginevyo utajikuta ukiulliza upupu kila uchao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…