tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,215
Soma kitu ukipendacho bwana mdogo,usifuate mkumbo ili tu upewe mkopo.
tatizo mtoto wa mkulima
uzeni hata hayo mashamba na mifugo yenu usome...
Fanya unachoamini utafanikiwa, kazi zipo kwa wale wapendao kazi zao wala sio wale waambiao nini cha kufanya. Piag sherai chooka na GPA ya 4 then omba kufundisha au fungua law firm uwe kama akina mkono.
Jaman wana jf embu nishaurini nimefaulu kwa kiwango cha juu HGK ila watu wananiogopesha kuhusu law eti mkopo hupewi,ajira utasota na pia mambo magumu sana! Na mm naipenda sana hii fakat ushaur plz... Kwa wenye uwelewa na hii kitu'
Ndugu kabla ya kujaza angalia mwongozo wa TCU ambao unaonyesha kozi zitakazo pewa mkopo na ambazo hazitapewa mkopo. kama we ni maskini kama mimi kusoma sheria sahau maana hakuna cha mkopo wa ada wala meal and accomordation. Na hapo bado hujaongelea pesa za kuja kujilipia law school. Kama nyumbani mambo safi wala haina shida